BOLT na MARIA Waenguliwa Kwenye Big Brother Africa (The Chase)
Wiki hii, Annabel, Bolt, Dillish, Hakeem, Maria na Natasha walikuwa kwenye horodha ya watu waliokuwa kwenye zone ya hatari na kuwaacha Waafrika wachague ni nani wa kubaki.
Waafrika waliwaokoa Annabel, Dillish, Hakeem, Pokello na Natasha kutoka kwenye hatari hiyo na kuwafanya muwakilishi wa Sierra Loene, Bolt na yule wa Namibia, Maria kuyaaga mashindano hayo.
Bolt kwa sasa ana nafasi ya kuungana na muwakilisha wa Ethiopia aitwaye Betty ambaye alitolewa kwenye shindano hilo kwenye wiki ya nne, na sasa wataweza kuwa huru kufanya mambo yao pasipo shida ya kumulikwa na kamera za kwenye jumba hilo la Big brother.
Kura zilienda hivi:
Angola: Pokello
Botswana: Dillish
Ghana: Pokello
Kenya: Annabel
Ethiopia: Dillish
Malawi: Natasha
Namibia: Maria
Nigeria: Dillish
South Africa: Pokello
Sierra Leone: Bolt
Tanzania: Annabel
Uganda: Annabel
Zambia: Hakeem
Zimbabwe: Pokello
Rest of Africa: Dillish
Jumla: Pokello = 4; Dillish = 4; Annabel =3, Natasha = 1, Hakeem = 1, Bolt = 1, Maria = 1. (Jumla: Kura 15)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment