AIBU: Mcheki Mama Yake John Terry Alivyolewa Chakali Kutokana na Pombe za Usiku Kucha na Mkwewe (PICHA)

Mama Yake Terry Akiwa Chakali
Mama wa mchezaji wa timu ya Chelsea John Terry aitwaye Sue alijikuta akiwa amelala nyuma ya tax baada ya kitungi cha usiku mwingi.

Sue, 55, aliingizwa kwenye tax usiku wa saa 9 baada ya kutoka kwenye pati na mke wa Terry aitwaye Toni.

Mama huyo mtu mzima alijibwaga nyuma ya kiti na kufunga macho yake huku akiwa anamsubiri Toni.


Toni Mke wa Terry

Mama Yake Terry Aitwaye Sue
Ingelikuwa ndiyo mzazi wako wewe ungejisikiaje....?

No comments:

Post a Comment