Wana Kitu Gani Kinachowafanya Waendane...? Mkongwe wa Afro Beat Femi Kuti na Rapa Common
Mkongwe wa miondoko ya Afro Femi Kuti haonekani kama ni mtu wa kiujana sana ila unaweza usijiwekee uhakika wa asilimia mia unapomtazama kwenye picha hii.
Femi Kuti alipigwa picha akiwa amejiachia na rapa wa Kimarekani Common mara baada ya nyota hao kushiriki kwenye tamasha kubwa la majira ya joto lililojulikana kama ‘Big Apple’ na kufanyika ndani ya jiji New York City pande za Central Park juzi Jumapili June 23.
Nashangazwa ni kipi hasa huwafanya wasanii waonekane wamefanana....?
No comments:
Post a Comment