Mpenzi Wangu Ameniacha Kwakuweka Picha Hii Facebook
Msichana huyu anahitaji msaada na ninadhani kwamba ni vyema kkwa upata ushauri toka vyanzo mbalimbali kunaweza kumsaidia kupata ufumbuzi wa ishu yake.
Siku njema kwenu wote. Nimekuwa nikifikiria sababu moja iliyomfanya mpenzi wangu anipende ni kwamba yeye anafahamu kuwa mimi huwa napenda picha kuliko kitu chochote, na mpaka ikafikia kipindi nikifikia uamuzi wa kununua kamera moja ya gharama sana.
Kwenye picha kati ya nyingi nilizokuwa najipiga nikagundua kwamba nimeipenda picha hii sana tu na nikataka rafiki zangu waione na hata watoe maoni yao, hivyo nikaamua kuiweka kwenye facebok.
Huwezi amini kilichotokea mara baada ya kuweka tu picha hiyo jamaa yangu akaniacha. Tafadhali nahitaji mnisaidie sababu nampenda sana....!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment