Je ni Kweli Kwamba Mwili wa Serena Williams Unamuonekano Kama wa Mwanaume?


Watu wengi wamekuwa wakisema kwamba ana mwili unaofanana na mwanaume, hata mcheza tenisi mwenzake wa kike aitwaye Maria Sharapova ameshawahi kusema kwamba Serena Williams anatakiwa acheze na wananume badala ya wanawake sababu huwa anashinda kila mara.


Binafsi yako unaonaje....?

No comments:

Post a Comment