Mtoto Aliyeshiriki Kwenye Filamu Ya "Hangover" Arudi Na Kushiriki Kwenye Hangover 3

Grant Wa Zamani Na Sasa
Naamini utakuwa unamkumbuka mtoto ambaye alikuwa chanzo cha mikasa mingi iliyokufanya ucheke kwenye filamu ya kwanza ya Hangover .
 
Kwa sasa amekuwa na pia kuweza kurudi na kushiriki kwenye filamu ya Hangover 3.
Grant Holmquist (mtoto Tyler a.k.a Carlos) nyota wa kwenye filamu mpya ya Hangover ambayo ilitoka May 23 sambamba na washiriki halisi wa kundi hilo akiwemo Bradley Cooper, Ed Helms, Zach Galifianakis, Justin Bartha na bila kumsahau Ken Jeong a.k.a Mr Chow.
Grant ambaye alicheza sehemu ya mtoto Tyler akiwa na pacha mwenzake wa kike aitwaye Avery Holmquist kwenye Hangover 1, na hivi sasa ikielezwa kuwa ameshiriki na kufanya vyema akiwa na Zach Galifianakis a.k.a Alan kwenye Hangover 3.
Grant Holmquist

No comments:

Post a Comment