Linda Ogutu |
Jina la Linda Ogutu linaweza kuwa geni masikioni mwaako, ila huyu ni mmoja kati wa watangazaji mahili wa Tv ndani ya Kenya. Linda ambaye zamania alikuwa mfanayakazi wa NTV, kwa sasa ni msomaji wa habari kwenye kituo kinachoongoza nchini cha Kenya Television Network (KTN).
Mdada huyu mwenye umbele la kuvutia huonekana kwenye Tv kwenye muda wa saa 3 usiku , muda ambao mkenya wa kawaida asingependa kuacha kuangalia TV yake, sit u kwa sababu ya habari ila pia kutokana na mtangazaji wake, si mwingine ni Linda Ogutu kwenye picha unamuona.
No comments:
Post a Comment