Kula Samaki Kidogo Kipindi Cha Ujauzito Husababisha Ufahamu Mdogo Kwa Watoto (UCHUNGUZI)
Wanasayansi wamegundua kwamba kuna uhusiano kati ya kile anachokula mama mjamzito na ufahamu wa mtoto.Wakiwatumia Wanawake wa nchini Uingereza kwenye somo hilo, Watafiti hao walimaliza kwa kusema kwamba Wanawake ambao wanakula samaki kidogo husababisha watoto wao kuwa ufahamu mdogo tofauti na wale ambao mama zao hula samaki wengi zaidi.
No comments:
Post a Comment