Jamaa Mwenye Miaka 27 Asema Yeye ni Mtoto Wa Bill Clinton
Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 27 nchini Marekani, Danney Lee Williams Jr toka Arkansas anasema yeye ni mtoto wa siri wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Bill Clinton.Jarida la Globe limeandika kwamba Bill Clinton ana mtoto wa siri ambaye alizaa na kahaba – na kwa sasa mvulana huyo mwenye umri wa miaka 27 ana shauku ya kutaka kumuona baba yake mzazi.
No comments:
Post a Comment