Azabwa Kofi Alipojaribu Kumtokea Demu Kwenye Kadamnasi Ya Watu
Hakika Dunia haiwezi kuelezea hisia za mtu, maana jamaa ilibidi azabwe kibao usoni mara baada ya kumtokea demu na kutaka awe wake mbele ya kadamnasi ya watu.
Ni funzo kwa Wanaume wote. Jambo la msingi ni kuwa na uhakika kabla hujataka kufanya kitu kwa maana mwisho wa siku inaweza kuwa ni aibu kwako.Cheki picha hapo chini mkanda ulivyoanza na ulivyoishia...
No comments:
Post a Comment