Sindano Za Kukuza Makalio Zamuuwa Muigizaji (PICHA)

Muigizaji mmoja wa filamu toka nchini Marekani aitwae Vixen, amefariki mara baada ya kutumia sindano za kukuza makalio kupitiliza.
Hakika unapokuwa unafanya vitu na mbaya zaidi viwe ni juu ya kiwango, mwisho wake siku zote huwa ni mbaya.
Hii ndio sababu. Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahali Pema Peponi…..!
 
TARIFA ZAIDI KUFUATA...

No comments:

Post a Comment