Cheka Na Mi

Wanaume watatu walichanganyikiwa walipomuona demu mzuri, basi kila mmoja akawa anajinadi kivyake kama ifuatavyo:- Wa Kwanza: Naitwa MUHAMMAD lakini sio Mtume! Wa Pili: Naitwa YOHANA lakini sio Mbatizaji! Wa Tatu: Naitwa PETRO lakini sio Msaliti! Basi nao wakauliza sijui mwenzetu unaitwa nani...? Demu akawajibu: Naitwa MARIA lakini sio BIKRA..!

No comments:

Post a Comment