Jamaa anapiga simu ofisi ya Makumbusho ya Taifa: JAMAA: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?" OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka jana mpenzi yupi nilikuwa naye valentine day ?" OFISI: "Pumbavu! Hiyo sio kazi yetu..!" JAMAA: "Nyinyi ndio Pumbavu, hayo makumbusho yenu mnakumbusha nini sasa?
No comments:
Post a Comment