Alicia Keys Ajiachia Na Mwanae Ufukweni

Miaka miwili iliyopita Alicia Keys alibahatika kupata mtoto wake wa kwanza, hapa akiwa anakula good time na mwanae.
Mwanamziki huyo mwenye umri wa miaka 32 anaonekana amependeza, akiwa ufukweni maeneo ya Bahamas, huku akiwa amevaa bikini ya pembe tatu na tumbo lake likiwa flat kama vile hajazaa.

No comments:

Post a Comment