Ni Usiku wa Swagga na Dance za Beyonce


Ni Ijumaa nyingine ya DADAZ ndani ya GALAPO Club Masai

Usiku wa LEO anatafutwa MDADA mwenye Swagga na Dance za BEYONCE....! Zawadi kutolewa kwa Mshindi...! Vaa na Dance kama Beyonce Ujishindie...!

Kama kawa Wanawake Wanaingia BUREE (Freee) ...! Na Wanaume ni Buku Tatu tu...! Dj Dan Chibo & Dj Fx Kwenye Moja na Mbili...!

Mnakaribishwa Saaaaaana....!
read more "Ni Usiku wa Swagga na Dance za Beyonce"

"NICHUMU" Mbioni Kwenye Kideo - Bob Jr.


Sharobaro Bob Jr.
MSANII mwenye staili ya kipekee bongo, Bob Junior, amesema kuwa anatarajia kupelekea videoni ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nichumu’, na baada ya hapo kuipelekea redioni.
Akizungumzia wimbo huo msanii huyo alisema kuwa ngoma hiyo ameimba kuliko zote alizowahi kuzitoa hivyo anaamini mtu akiyeisikiliza mara moja hatochoka kutaka kuisilikiliza tena.
Alisema kuwa hata hivyo kikubwa alichokiimba ndani ya kazi hiyo ni mapenzi ambayo anaamini hayana kikomo na mwisho wa kupenda ni pale mungu atakapokuchukua.
“Hakuna asiyejua raha ya kupendwa hivyo hii ni ngoma ambayo imejaa mapenzi na naamini  mashabiki wangu wataipenda kutokana na ubora wake,” alisema.

Chanzo: DarTalk.
read more ""NICHUMU" Mbioni Kwenye Kideo - Bob Jr."

Friday Dadaz NITE ndani ya Galapo ni Funiko

Ni Disco la Dadaz Ijumaa hii na kila Ijumaa likiwa na Swagga tofauti, huku watu waki-party toka 4 Usiku mpaka chwee
Dancing Competation mpaka kieleweke
Ni ndani ya Galapo Club Masai iliyopo Ilala Sharif Shamba, karibu na BASATA
Kwaito ikichezwa kwa style mpya
 Disco linasimamiwa na Dj Dan Chibo & Dj Fax, kwa aina zote za ngoma, RnB, Hip Hop, Bongo Fleva, Ragga, Kwaito na nyinginezo...!
Unaijua hii, mabega kiuno
 Wanawake huingia BUREEE na wanaume huchangia Buku Tatu tu...!
Ni full kujiachia
 Watoto wakali toka vyuo vya DSJ, TIME, St. John na Data Star hapa ndio kiwanja chao kila siku za Ijumaa...!
Warembo ni wakali
 Kuna watu wa aina tofauti toka pande za jiji, Mastaa kibao pia ni kiwanja chao, Ney Wamitego, Dj Bura, K-One for Real, Baucha, Hakeem 5, Dj Zirro na wengin kibao
Hapo je..!?
Huduma ya vyakula na vinywaji ni nzuri na kwa bei poa sana
Ni wewe tu..!
Kuna Parking ya kutosha, ulinzi wako na mali yako ni wa uhakika kwa 100%
Fika Ijumaa hii na kila Ijumaa ujionee....!!
read more "Friday Dadaz NITE ndani ya Galapo ni Funiko"

Usiku Wa Dadaz na Full Kujiachia


Warembo na ma'star ndani ya Galapo ndani ya Usiku wa DADAZ


Leo ni Dadaz Nite ndani ya Galapo Club Masai (Ilala)
Kiingilio ni FREE kwa Wanawake na Wanaume ni sh. 3,000 tu!
Usisimuliwe wala kungoja kwenye FB, Ijumaa ya LEO na Kila Ijumaa...!
Wewe come Ijumaa hii uburudike na Disco Chini ya Dj Dan Chibo na Dj Fax...!!
read more "Usiku Wa Dadaz na Full Kujiachia"

Dadaz Nite Ijumaa Hii

Warembo ndani ya Galapo Club Massi ni Soo.!
LEO Ijumaa Ndani ya Galapo Club Masai (IlLALA)
Ni Usiku wa Dadaz a.k.a Dadaz Nite - Ladies Free
Swagga yetu ni Re-do ya Mcharuko wa MWANAMKE NYONGA...!
Fika Uonyeshe wako na zawadi ujishindie...!
Na huu ndio mpango mzima...!
Kiingilio ni Bu...ree kwa LADIES na Wanaume watalipa sh. 3,000/- tu.....!!
Kwenye Moja na Mbili ni Dj Dan CHibo & Dj Fax ....!
Kama wewe kweli ni Mjanja wa Town Hutokosa Kufika Ijumaa Hii Ndani ya Galapo Club Masai iliyopo Ilala...!
Mademu Wakaliiiiii na Mastaa Kibao ndani ya House....!
See More
read more "Dadaz Nite Ijumaa Hii"